Huu ni mfumo wa mashimo mawili ambapo kuna shimo moja la round ambalo tofari imara zinapangwa kwa ustadi wa hali ya juu sana shimo jingine ni la square ambalo tunajaza mawe ndani ya shimo
Huu mfumo hutumika sehemu yenye matumizi makubwa kama mashuleni apartments mahospitali n.k
Pia hutumika kwenye eneo la kifinyanzi
Mfumo huu hugharimu 1.8M ambapo vifaa vyote kuchimba pamoja na kujengea ni juu yetu
0 Comments