Huu ni mfumo wa shimo moja pekee ambalo ni shimo la round lenye futi kumi kwenda chini mapana futi sita
Hili shimo hutumika sehemu za makazi ambapo kuna matumizi madogo
Huu mfumo hugharimu 1.2M ambapo kuchimba kufyatua tofali na kujengea ni juu ya hiyo hera
0 Comments