Ticker

6/recent/ticker-posts

KARIBUNI SANAA

👋👋👋 ZA uzima ndugu zangu watanzania

Bado unasumbuliwa na karo la maji taka kujaaa hovyo hovyo usisumbuke tena suluhisho limepatikana sasa

👉Reef system ni mfumo ambao ni rafiki kabisa wa mazingira yote hata kama kuna Chemi chemi huu mfumo ni mzuri sana 

👉Ukiwa na mfumo huu utaondokewa na adha ya kunyonya maji taka kwa sababu mfumo huu hautoi nafasi ya maji kutuama ndani ya shimo maji yote yatakuwa yanapenya aridhini (kufyonzeka aridhini ) kwa sababu hatujengei ni tofari zinapangwa tu 

Mifumo Hiii ipo ya Aina mbili 👇👇👇

MFUMO WA KWANZA 

👉Huu ni mfumo ambao mara nyingi hutumika kwenye maeneo ya makazi (kwa ajili ya familia ) 

✍️Huu mfumo ni mfumo wa shimo moja tu ambalo ni la round , hilo shimo tofari hupangwa kwa ufundi zaidi hali ambayo hutoa nafasi ya maji kupenya kwenda aridhini lakini kinyesi ndio kinabaki kwenye shimo, kinyesi kikibaki kwenye shimo na ule unyevu nyevu na joto la shimo kitaoza hivyo kusababisha shimo lisijae 




👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆 Muonekano wake ndio huo humoo pembeni tunaweka mchanga na juu tunaweka nondo 

👉 Gharama yake ni 1.2M vifaa vyote juu ya kampuni

🚗Popote ulipo  Tanzania tunakuja kwa gharama zetu wenyewe

Tupigie :0742389618/0742286755


MFUMO WA PILI

👉HU ni mfumo wa mashimo mawili (Reef system) huu mfumo hua unamashimo mawili moja la round ambalo tofari zinapangwa vizuri kabisa na shimo la pili ni la square ambalo tunajaza mawe ndani yake huu mfumo mara nyingi hutumika sehemu zenye matumizi makubwa sana kama vile guest, mahotelini,shuleni ,stendi nk yaani sehemu yoyote yenye watu wengi sana pia huu mfumo hutumika sehemu yenye chemi Chemi 
👉 Huu mfumo hugharimu 1.8M vifaa vyote juu ya kampuni 





Post a Comment

0 Comments